Kigomaaa aee kigoma weeh tunayo furaha leka dutigite Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke
(ommy dimpoz) K k k k town kasulu ndipo baba alipozaliwa ooh japo nipo Dar Naupenda mkoa wangu kk kigoma kama vi paji tumejaliwa Kaseja na linya fahari mkoa wangu Amawesele hivilibwani hivikunakadwumba (pozi kwa pozi) Kigoma mkoa wangu ndio fahari yangu
Ardhi yenye rutuba ya kustawisha chelewa Gombe na mahali wenye sokwe wasiolewa Kigoma inapendeza sanaaa Tunashukuru hivi ndio ninavosema Nina furaha mbuga zetu Nina furaha mafuta yetu Ninafurahi eei ninafuraha
(chege) Kigoma ndipo nilipotoka nimekuja dar kutafuta Siku zote ntawakumbuka Najivunia na sitajuta (nakumbuka) Nakumbuka mama alisema ( nakumbuka) mkataa kwao mtumwa dutigite
Kigoma lango la Tanzania Bandari kwa kahawa shaba kwa matania Amani kwa wazawa kasulu kibondo ubunza
(baba levo) Avandu bakundi vikogwaaa Ziwa refu tunalo na madini tunayo Tuna mbuga za wanyama kama gombe na mahale Ardhi safi tunayo na vipaji tunavyo Sauti safi tena tamu tamu tamu tamu Vigelegele na mashumamushamu Kigoma yetu mambo bambambam
Meli ya lyemba wanasiasa mashujaa Watetezi wa taifa kigoma tunatoka wote mastaa Miss Tanzania K-lynn Kaseba champion
Wese na ugali wa mhogo aakha wa muhogo Ndivyo vimenifanya niwe diamond Kwa vitenge na mashuka na chumvi kidog Tena na muda nikawa mfalme tena kigoma ya sasa sio kama ya zamani kigoma ya leo imesonga mbele tena kigoma ya sasa sio kama ya zamani kasulu ya leo imesonga mbele
Amani na upendo ndio lugha ya kigoma Kigoma ishaghoma kigoma yaenda mbele Rangi yako ya kijani upepo wako ni mwanana Kigoma nakupenda kigoma unanipenda
Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke
Try to sing it! So funny!
ReplyDeleteKigomaaa aee kigoma weeh tunayo furaha leka dutigite
Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke
(ommy dimpoz)
K k k k town kasulu ndipo baba alipozaliwa ooh japo nipo Dar
Naupenda mkoa wangu kk kigoma kama vi
paji tumejaliwa
Kaseja na linya fahari mkoa wangu
Amawesele hivilibwani hivikunakadwumba (pozi kwa pozi)
Kigoma mkoa wangu ndio fahari yangu
Ardhi yenye rutuba ya kustawisha chelewa
Gombe na mahali wenye sokwe wasiolewa
Kigoma inapendeza sanaaa
Tunashukuru hivi ndio ninavosema
Nina furaha mbuga zetu
Nina furaha mafuta yetu
Ninafurahi eei ninafuraha
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
(chege)
Kigoma ndipo nilipotoka nimekuja dar kutafuta
Siku zote ntawakumbuka
Najivunia na sitajuta (nakumbuka)
Nakumbuka mama alisema ( nakumbuka)
mkataa kwao mtumwa dutigite
Kigoma inatambaa Tanganyika inabamba
Tufurahi tusherehekee pamoja
Twajivunia kigoma
Tunamshukuru maulana
Kigoma lango la Tanzania
Bandari kwa kahawa shaba kwa matania
Amani kwa wazawa kasulu kibondo ubunza
(baba levo)
Avandu bakundi vikogwaaa
Ziwa refu tunalo
na madini tunayo
Tuna mbuga za wanyama kama gombe na mahale
Ardhi safi tunayo na vipaji tunavyo
Sauti safi tena tamu tamu tamu tamu
Vigelegele na mashumamushamu
Kigoma yetu mambo bambambam
Meli ya lyemba wanasiasa mashujaa
Watetezi wa taifa kigoma tunatoka wote mastaa
Miss Tanzania K-lynn
Kaseba champion
leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Wese na ugali wa mhogo aakha wa muhogo
Ndivyo vimenifanya niwe diamond
Kwa vitenge na mashuka na chumvi kidog
Tena na muda nikawa mfalme
tena kigoma ya sasa sio kama ya zamani kigoma ya leo imesonga mbele
tena kigoma ya sasa sio kama ya zamani kasulu ya leo imesonga mbele
Amani na upendo ndio lugha ya kigoma
Kigoma ishaghoma kigoma yaenda mbele
Rangi yako ya kijani upepo wako ni mwanana
Kigoma nakupenda kigoma unanipenda
Amani itawale kigoma
amani itimie kigoma
amani inyumba kigoma shigoma kigoma
Amani itawale kigoma
amani itimie kigoma
amani inyumba kigoma shigoma kigoma
Kigoma shukrani kigoma
Kigoma nyumbani kigoma

…….till fade